Serikali imekuwa inakopa kutoka masoko ya biashara kwa gharama kubwa na deni la taifa linaongezeka kwa kasi. Deni la taifa limeongezeka kutoka Sh5.9 trilioni mwaka 2007 sawa na asilimia 28.4 ya pato la taifa, alisema Profesa Lipumba na kuongeza:
Jambo hilo limesababisha kufikia Sh22 trilioni mwaka 2013 sawa na asilimia 42.5 ya pato la taifa.-Mwananchi Newspaper 27/01/2014
Jambo hilo limesababisha kufikia Sh22 trilioni mwaka 2013 sawa na asilimia 42.5 ya pato la taifa.-Mwananchi Newspaper 27/01/2014