Kanyo Kanzoka
Member
- Nov 14, 2013
- 10
- 3
Siku hizi imekuwa kama mtindo kwa wadada walio wengi kabla ya kwenda kwa mtu wake lazima ajilembe. Kujilemba nipamoja nakujipaka lipstick.Inasemekana wanaume wengi wanapungukiwa nguvu za kiume kwasababu ya kupiga denda wanawake waliojipaka lipstick. Unapokula denda mwanamke aliyejipaka lipstick na kumeza yale mate,inasababisha nguvu za kiume zipunguwe. Wenye tabiya kama hiyo mnashauliwa umwambie mtu wako anawe mdomo kama amejipaka kabla ya kumnyonya ulimi. :tonguez::A S tongue:
Dah aisee kama Clementine wa Song of Lawino and Ocol!Mmhhhhhh!! Makubwa
Siku hizi imekuwa kama mtindo kwa wadada walio wengi kabla ya kwenda kwa mtu wake lazima ajilembe. Kujilemba nipamoja nakujipaka lipstick.Inasemekana wanaume wengi wanapungukiwa nguvu za kiume kwasababu ya kupiga denda wanawake waliojipaka lipstick. Unapokula denda mwanamke aliyejipaka lipstick na kumeza yale mate,inasababisha nguvu za kiume zipunguwe. Wenye tabiya kama hiyo mnashauliwa umwambie mtu wako anawe mdomo kama amejipaka kabla ya kumnyonya ulimi. :tonguez::A S tongue:
Wengi wao ndo wanaopata kansa ya kizazi, hupelekea mpaka kizazi kuondolewa.Je? mwanamke mwenyewe aliyejipaka akiimeza haina madhara kwakwe au haimpunguzii nguvu huyu mwanamke? jibu pls
Sasa kama unanyonya ulimi, liupstick inapakwa kwenye ulimi?
nyie watu mna mambo yaani huwa hamjisikii raha bila kumtaja mwanamke. kwanza wanaojipaka hizo lipstic ni wanawake wachache sana, lakn wanaume wenye matatizo hayo ni wengi kweli.

Wameshaona wengi hawajiwezi wanatafuta mchawi!!!!
Na bado,mtasingizia mpaka kulala kwenye magodoro ndio kunawamaliza nguvu!!!!