Tafuta dawa ya minyoo unywe,hiyo ni minyoo tu mkuu...
Mara ya mwisho umepata lini dawa ya minyoo?
Changamka,pata dose ya minyoo,utaona mabadiliko makubwa baada ya siku kadhaa!
Mimi sio doctor,lakini nlikuwa na tatizo hili,baada ya kuitumia ile dawa,tatizo hilo likaisha!
Jaribu bahati yako!