Lipo kusudi kwa hilo unalopitia

Lipo kusudi kwa hilo unalopitia

uncle J4

Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
25
Reaction score
28
Muda mwingine mtu kuwa katika maisha yako akawa ni mtu tofauti na ulivyotegemea usibadilike na kuwa mtu wa tabia zake. Jifunze kitu kutoka kwa mtu huyo in a positive way itakusaidia katika safari yako hujo mbele unakoelekea maana linalokutokea leo ni kwa ajili ya maandalizi ya kesho..

Pay attention kwa watu ulio nao katika maisha yako, huwa kuna kusudi maalumu la watu kukutana, kuwa marafiki, kuwa mnaoelewana au msioelewana, kuwa wapenzi, kuwa watalaka.

Kila mtu anaekuja katika maisha yako anakuja kukufundisha.

Hata wewe ulipoingia katika maisha ya mtu kuna jambo umemfundisha kutokana na tabia yako.

Aliekuwa anakuonea, amekufundisha kujitetea, amekufundisha kuwa jasiri.

Alieachana na wewe, amekufundisha kuwa kuna baadhi ya watu watakuja na kupita hivyo hautakiwi kuendelea kuwaweka akilini wakishaondoka.

Aliyekuwa na roho nzuri kwako, amekufundisha kuwa kuna watu wema duniani.

Aliyekuwa si mwaminifu kwako, amekufundisha kuwa makini sana na watu na sio kumwamini mtu haraka.

Kila mtu Mungu anamruhusu kuingia katika maisha yako kwa ajili ya kukuandaa na maisha mengine mapya ambayo pengine kwa muda huo huwezi kuyajua kabisa.

@Dr_Mkongwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe 100%, Binafsi nimejifunza kuwa Duniani kuna watu wema sana lkn pia kuna watu Wabaya sana.Kwa hiyo akili imekomaa sasa.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom