Uwezi kumtafuta kwa sasa?Kuna mpuuzi mmoja hivi alikua anani nyanyasa sana
ni teacher
😂😂😂
kununua kitumbua kimoja cha sh. 10 wakati kuna marafiki kama sita wanataka niwamegee
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakaka wengi hii huwa inawapa shida sijui kwa nini wakati wadada ndio ilitakiwa waone aibuKukaa dawati moja na msichana
Aisee sisi kwetu ilikuwa ukiingia staff unakanyaga kwa nguvu ile mguu sawa ndio unaingia sijui ilikuwa sheria ya wapi na nyie wenzetu ilikuwepo?
Daah 🤕Aisee shule ya msingi kuna mambo.ukiyakumbuka unabaki kucheka,au kujiona mjinga wa kiana flani ivi.sometimes unajipa moyo aaah nilikua mdogo.mdogo darasa,6 au 7?nikiwa darasa LA tano 1983 nakumbuka mwl alinichangua ktk kikosi cha kuimba ngonjera,ili kuwaaga walimu waliokua wanataka kuhama.
Aisee cku ilikua ngumu sana kwangu.niliomba ardhi ipasuke niingie.
Sababu nilikua naona aibu,kuimba kwenyewe cjui,naazaje.pia sijawai tu kuimba mbele ya araikhi.nawezaje kukremu ubeti wangu wakati hada idear ya kuimba cjui?nilipata wakati mgumu SNA.KIPI KWAKKO UTOSAHAU UKIWA SHULE YA MSINGI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi uko au jeshiniAisee sisi kwetu ilikuwa ukiingia staff unakanyaga kwa nguvu ile mguu sawa ndio unaingia sijui ilikuwa sheria ya wapi na nyie wenzetu ilikuwepo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuuKugombania dawati asee.. mwenye nguvu ndio anakaa!! Marafiki zangu wakagundua udhaifu wangu wa kutekenyeka so nilikua niki struggle ili nipate nafasi wananitekenya hadi naamua kuchukua kipande cha tofali naenda kukaa chini
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sijawahi kutana nayo hii