Sipendi mpenzi wangu alale na chupi!
Jamani kuna kitu sipendi mpaka baasi... Unamtext msg nzuri tena ya mahaba halafu anachelewa kujibu au wakati mwingine anauchuna utadhani hajaiona ..Huwa nasikia maumivu sana.. Yaani moyo wangu huwa utadhani unaungua moto kwa maumivu..SIPEEENDI!
unapenda Asprin akwepese bila sababu?
haaaaa hiyo sipendi sipendi sipendi..... Naweza kumng'ata