Mwanza sales
Senior Member
- Nov 17, 2015
- 193
- 89
Ni ipi tafakari sahihi juu ya vijana walio jiajiri kupitia uwakala wa Mpesa endapo kampeni ya lipa kwa M-Pesa itafanikiwa kwa asilimia 100%?
Nimekaa na baadhi ya Mawakala wanalalamika juu ya kupoteza wateja wao ambao sasa wanatumia Huduma ya Lipa kwa Mpesa,Mawakala wamejawa hofu juu ya hatma ya Ajira yao na anguko la biashara yao.Mabadiliko hayana budi kutokea ila kwa maumivu.
Sidhani kama hilo la kutokukatwa litakuwa la kudumu, ni promotion ya muda. Sasa wasipokata chao watakuwa wananufaikaje?Tafakari yangu ni juu ya hatua hii ya Vodacom,hasa wananufaika na nini ikiwa mtumiaji wa Huduma ya Lipa kwa Mpesa hakatwi gharama yotote na wakati hivi sasa ukitumia Mpesa kuna makato ambayo mwisho wa siku mawakala wanapata commission na Vodacom wanapata commission,ipo sababu gani kukatisha Ajira za watu hawa wote pasipo kuangalia athari zake
Ni ipi sababu hasa ya wao( Vodacom) kuanzisha hii Huduma,Je wametafakari kwa kina juu ya upotevu wa Ajira za mawakala wa Mpesa kwa nchi nzimaSidhani kama hilo la kutokukatwa litakuwa la kudumu, ni promotion ya muda. Sasa wasipokata chao watakuwa wananufaikaje?
Kwanza kabisa sioni kama mawaka watapoteza kazi kwani kazi kubwa ya mawakala ni kutoa pesa hapo ndipo wanapotengeneza faida.Hii huduma kwa vodacom itakuwa na faida kwa sababu sasa watakuwa na access ya Pesa za watu na kwa hiyo hii huduma ya Lipa kwa mpesa ni njema na nafikiri ni ya kuigwa na mitandao yote ili tuhakikishe ubebaji wa cash unapungua na hivyo ile 10% serikali ya Sizonje ilikusanya itapungua na hivyo Voda watafurahi.OvaNi ipi sababu hasa ya wao( Vodacom) kuanzisha hii Huduma,Je wametafakari kwa kina juu ya upotevu wa Ajira za mawakala wa Mpesa kwa nchi nzima
Kama utaielewa vizuri hii Huduma,ni kwamba huna haja ya kutoa pesa kwa mawakala badala Yake utakuwa unalipa direct katika duka lolote lile utakalohitaji likuhudumie,mfano nahitaji via mbili katika baa Fulani sitakiwi kwenda kwa wakala kutoa Bali ntalipa kwa Mpesa kwenda direct kwenye namba ya bar husika,Je mawakala watakuwa na kazi gani? Tafakari kwa kinaKwanza kabisa sioni kama mawaka watapoteza kazi kwani kazi kubwa ya mawakala ni kutoa pesa hapo ndipo wanapotengeneza faida.Hii huduma kwa vodacom itakuwa na faida kwa sababu sasa watakuwa na access ya Pesa za watu na kwa hiyo hii huduma ya Lipa kwa mpesa ni njema na nafikiri ni ya kuigwa na mitandao yote ili tuhakikishe ubebaji wa cash unapungua na hivyo ile 10% serikali ya Sizonje ilikusanya itapungua na hivyo Voda watafurahi.Ova
Nakuelewa ila nafikiri hii ni teknolojia muhimu wao wawe wanaweka tu pesana kwa wale wachache ambao bado wanatoa wakishindwa wataenda kufanya kazi viwandaniKama utaielewa vizuri hii Huduma,ni kwamba huna haja ya kutoa pesa kwa mawakala badala Yake utakuwa unalipa direct katika duka lolote lile utakalohitaji likuhudumie,mfano nahitaji via mbili katika baa Fulani sitakiwi kwenda kwa wakala kutoa Bali ntalipa kwa Mpesa kwenda direct kwenye namba ya bar husika,Je mawakala watakuwa na kazi gani? Tafakari kwa kina
Sidhani kaa kutakuwa ma mtikisiko mkubwa sana wa kutisha.Ni ipi sababu hasa ya wao( Vodacom) kuanzisha hii Huduma,Je wametafakari kwa kina juu ya upotevu wa Ajira za mawakala wa Mpesa kwa nchi nzima
Huyo mwenye bar atakavyohitaji cash kwaajili ya kununua mahitaji flani je atapata wapi? Jibu rahisi ni lazima aende kwa wakala akatoe, huyo mteja aliekwenda bar na kulipa kwa m pesa salio kapata wapi? Jibu ni kwa wakala.Kama utaielewa vizuri hii Huduma,ni kwamba huna haja ya kutoa pesa kwa mawakala badala Yake utakuwa unalipa direct katika duka lolote lile utakalohitaji likuhudumie,mfano nahitaji via mbili katika baa Fulani sitakiwi kwenda kwa wakala kutoa Bali ntalipa kwa Mpesa kwenda direct kwenye namba ya bar husika,Je mawakala watakuwa na kazi gani? Tafakari kwa kina