Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Let nature take its own course!!! Hayatokei bure haya,kuna jambo.Kwa zaidi ya miaka 15 nimekuwa nikifuatilia historia na matukio mengi yanayohusu harakati za kisiasa za Vyama vya Upinzani Tanzania.
Tumejionea mauaji, mateso, manyanyaso, ubaguzi ,chuki na machukizo ya kila aina dhidi ya Wapinzani wa Chama tawala -CCM.
Tumeshuhudia mauaji ya Alfonce Mawazo aliyepigwa risasi
Tumeshuhudia jaribio LA mauaji ya Tundu Antipas Lissu
Tumeonana wanachama lukuki wa opposition parties wakiuwawa au kujeruhiwa.
Tumeshuhudia ubaguzi wa kimaendeleo dhidi ya Upinzani.
Leo Tumeshuhudia mawakala wakitolewa nje kabisa ya polling stations, baadhi yao kutekwa, wengineo kukatwa mapanga.
Je, tunasubiri nini kitokee ili kuchukua hatua madhubuti? Hili ni swali gumu kwa opposition supporters ---
Haya ni matatizo ya utawala yanayostahili kufanyiwa kazi. Ktk CCM naamini wanatakiwa kuwa wamekomaa kiasi kwamba waachane na siasa za kulaumiwa. Siasa siyo njama mbaya kiasi hiki. Kwa sasa mambo haya yanaonekana kuwasumbua opposition lakini itafikia wakati yatasambaa na kila mmoja ataona ndiyo mbinu ya kupambana na mpinzani wako.Kwa zaidi ya miaka 15 nimekuwa nikifuatilia historia na matukio mengi yanayohusu harakati za kisiasa za Vyama vya Upinzani Tanzania.
Tumejionea mauaji, mateso, manyanyaso, ubaguzi ,chuki na machukizo ya kila aina dhidi ya Wapinzani wa Chama tawala -CCM.
Tumeshuhudia mauaji ya Alfonce Mawazo aliyepigwa risasi
Tumeshuhudia jaribio LA mauaji ya Tundu Antipas Lissu
Tumeonana wanachama lukuki wa opposition parties wakiuwawa au kujeruhiwa.
Tumeshuhudia ubaguzi wa kimaendeleo dhidi ya Upinzani.
Leo Tumeshuhudia mawakala wakitolewa nje kabisa ya polling stations, baadhi yao kutekwa, wengineo kukatwa mapanga.
Je, tunasubiri nini kitokee ili kuchukua hatua madhubuti? Hili ni swali gumu kwa opposition supporters ---
Mpwa kesha tusikia sana! Nadhani hata yeye anatushangaa kwa uzoba tulionao kusubiri atushushie malaika wenye silaha watulinde na uonevu huu.Very soon.... Mungu atatusikia