Inanambo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,063 Reaction score 2,872 Jun 22, 2017 #21 Ndungulila said: Hawajui yanayotokea kibiti yamesababishwa na ladevide and rule Click to expand... Weee hadi Spika anasema Majimbo ya Wapinzani marufuku kupeleka Maendeleo. Wale wa Chama Tawala tunaoishi huko hali zetu sijui zitakuwaje!!!
Ndungulila said: Hawajui yanayotokea kibiti yamesababishwa na ladevide and rule Click to expand... Weee hadi Spika anasema Majimbo ya Wapinzani marufuku kupeleka Maendeleo. Wale wa Chama Tawala tunaoishi huko hali zetu sijui zitakuwaje!!!
Q Quinine JF-Expert Member Joined Jul 26, 2010 Posts 24,150 Reaction score 56,461 Jun 22, 2017 #22 jingalao said: Nchi hii haitatawalika-by ....... Click to expand... CCM Kibiti wanavuna walichopanda nyie endeleeni tu kupanda mbegu hizo na sehemu zingine ili mpate mavuno mengi zaidi.
jingalao said: Nchi hii haitatawalika-by ....... Click to expand... CCM Kibiti wanavuna walichopanda nyie endeleeni tu kupanda mbegu hizo na sehemu zingine ili mpate mavuno mengi zaidi.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Jun 22, 2017 #23 Gangongine said: CCM itapigiwa kura na baba yako, mkeo, mama na Dada zako na itaendelea kutawala Click to expand... Ila weye ni farasi kweli.
Gangongine said: CCM itapigiwa kura na baba yako, mkeo, mama na Dada zako na itaendelea kutawala Click to expand... Ila weye ni farasi kweli.
Gangongine JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 3,854 Reaction score 1,776 Jun 22, 2017 #24 Ndungulila said: Hawajui yanayotokea kibiti yamesababishwa na ladevide and rule Click to expand... Wewe utasaidia kuwatambua wauaji.
Ndungulila said: Hawajui yanayotokea kibiti yamesababishwa na ladevide and rule Click to expand... Wewe utasaidia kuwatambua wauaji.