RUV ACTVIST. JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 472 Reaction score 111 Jun 22, 2017 #1 Najiuliza tu....hamjui madhara ya kupanda chuki miongoni mwa watanzania
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,903 Jun 22, 2017 #2 2020 nje usisahau kupiga kura Swissme
Capslock JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 3,098 Reaction score 4,831 Jun 22, 2017 #3 Chuki gani?
Handsome man JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 880 Reaction score 958 Jun 22, 2017 #4 Nadhani vyama vyote nchini pamoja na ccm ndo wataacha
Gangongine JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 3,854 Reaction score 1,776 Jun 22, 2017 #5 RUV ACTVIST. said: Najiuliza tu....hamjui madhara ya kupanda chuki miongoni mwa watanzania Click to expand... Kwa kutuita MaCCM ndio unapanda chuki
RUV ACTVIST. said: Najiuliza tu....hamjui madhara ya kupanda chuki miongoni mwa watanzania Click to expand... Kwa kutuita MaCCM ndio unapanda chuki
MR MAJANGA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2014 Posts 3,524 Reaction score 10,817 Jun 22, 2017 #6 Ccm wameishiwa ilichobaki Ni kutumia siasa za kizamani gawanya utawale
Gangongine JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 3,854 Reaction score 1,776 Jun 22, 2017 #7 MR MAJANGA said: Ccm wameishiwa ilichobaki Ni kutumia siasa za kizamani gawanya utawale Click to expand... Wewe bangi zinakusumbua. Ila kwenye akili wanajua umuhimu wa CCM
MR MAJANGA said: Ccm wameishiwa ilichobaki Ni kutumia siasa za kizamani gawanya utawale Click to expand... Wewe bangi zinakusumbua. Ila kwenye akili wanajua umuhimu wa CCM
Inanambo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,063 Reaction score 2,872 Jun 22, 2017 #8 MR MAJANGA said: Ccm wameishiwa ilichobaki Ni kutumia siasa za kizamani gawanya utawale Click to expand... Ndio anachofanya Spika Ndugai "Divide and Rule". Na MaDC wa Ubungo, Hai na Arumeru.
MR MAJANGA said: Ccm wameishiwa ilichobaki Ni kutumia siasa za kizamani gawanya utawale Click to expand... Ndio anachofanya Spika Ndugai "Divide and Rule". Na MaDC wa Ubungo, Hai na Arumeru.
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,379 Reaction score 21,717 Jun 22, 2017 #9 Gangongine said: Wewe bangi zinakusumbua. Ila kwenye akili wanajua umuhimu wa CCM Click to expand... Hapa zinazungumzwa chuki, sio umuhimu!!! Unapajua Kibiti?
Gangongine said: Wewe bangi zinakusumbua. Ila kwenye akili wanajua umuhimu wa CCM Click to expand... Hapa zinazungumzwa chuki, sio umuhimu!!! Unapajua Kibiti?
RUV ACTVIST. JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 472 Reaction score 111 Jun 22, 2017 Thread starter #10 Capslock said: Chuki gani? Click to expand... Hauoni wala kusikia wanakifanya?? Au ndo walewale??
RUV ACTVIST. JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 472 Reaction score 111 Jun 22, 2017 Thread starter #11 Gangongine said: Kwa kutuita MaCCM ndio unapanda chuki Click to expand... Mnakera hamstahiri hata jina moja la heshima......
Gangongine said: Kwa kutuita MaCCM ndio unapanda chuki Click to expand... Mnakera hamstahiri hata jina moja la heshima......
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,949 Reaction score 74,431 Jun 22, 2017 #12 Gangongine said: Kwa kutuita MaCCM ndio unapanda chuki Click to expand... Mbona hata viongozi wanawa address Polisi kama mapolisi? Utasikia wanasema tens hata bungeni "mapolisi wetu wanafanya kazi iliyotukuka" Sasa iweje kuitwa maccm ni dhambi?
Gangongine said: Kwa kutuita MaCCM ndio unapanda chuki Click to expand... Mbona hata viongozi wanawa address Polisi kama mapolisi? Utasikia wanasema tens hata bungeni "mapolisi wetu wanafanya kazi iliyotukuka" Sasa iweje kuitwa maccm ni dhambi?
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,973 Reaction score 75,054 Jun 22, 2017 #13 Gangongine said: Wewe bangi zinakusumbua. Ila kwenye akili wanajua umuhimu wa CCM Click to expand... Umuhimu wa kuingia mikataba ya kilaghai na kinyonyaji.
Gangongine said: Wewe bangi zinakusumbua. Ila kwenye akili wanajua umuhimu wa CCM Click to expand... Umuhimu wa kuingia mikataba ya kilaghai na kinyonyaji.
Gangongine JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 3,854 Reaction score 1,776 Jun 22, 2017 #14 DOUGLAS SALLU said: Umuhimu wa kuingia mikataba ya kilaghai na kinyonyaji. Click to expand... CCM itapigiwa kura na baba yako, mkeo, mama na Dada zako na itaendelea kutawala
DOUGLAS SALLU said: Umuhimu wa kuingia mikataba ya kilaghai na kinyonyaji. Click to expand... CCM itapigiwa kura na baba yako, mkeo, mama na Dada zako na itaendelea kutawala
MR MAJANGA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2014 Posts 3,524 Reaction score 10,817 Jun 22, 2017 #15 Gangongine said: Wewe bangi zinakusumbua. Ila kwenye akili wanajua umuhimu wa CCM Click to expand... Wewe pesa za rambirambi zimekulevya mpaka unashindwa kuuona ukweli
Gangongine said: Wewe bangi zinakusumbua. Ila kwenye akili wanajua umuhimu wa CCM Click to expand... Wewe pesa za rambirambi zimekulevya mpaka unashindwa kuuona ukweli
Tetty JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 26,355 Reaction score 21,418 Jun 22, 2017 #16 Gangongine said: CCM itapigiwa kura na baba yako, mkeo, mama na Dada zako na itaendelea kutawala Click to expand... Itapigiwa na walevi wa madaraka kama wewe.Ukifikiria Baba akikosa Ukuu wa wilaya au mkoa lazima ufe njaa.
Gangongine said: CCM itapigiwa kura na baba yako, mkeo, mama na Dada zako na itaendelea kutawala Click to expand... Itapigiwa na walevi wa madaraka kama wewe.Ukifikiria Baba akikosa Ukuu wa wilaya au mkoa lazima ufe njaa.
N Ndungulila JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 317 Reaction score 94 Jun 22, 2017 #17 Inanambo said: Ndio anachofanya Spika Ndugai "Divide and Rule". Na MaDC wa Ubungo, Hai na Arumeru. Click to expand... Hawajui yanayotokea kibiti yamesababishwa na ladevide and rule
Inanambo said: Ndio anachofanya Spika Ndugai "Divide and Rule". Na MaDC wa Ubungo, Hai na Arumeru. Click to expand... Hawajui yanayotokea kibiti yamesababishwa na ladevide and rule
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 38,534 Reaction score 31,198 Jun 22, 2017 #18 Nchi hii haitatawalika-by .......
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,697 Reaction score 44,048 Jun 22, 2017 #19 Wanafuata fikra na hekima za Mwanyekiti wao. Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Wanafuata fikra na hekima za Mwanyekiti wao. Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,973 Reaction score 75,054 Jun 22, 2017 #20 Gangongine said: CCM itapigiwa kura na baba yako, mkeo, mama na Dada zako na itaendelea kutawala Click to expand... Akili makinikia hizo. Ndugu zangu wote wana akili timamu hawawezi kufanya ujinga huo.
Gangongine said: CCM itapigiwa kura na baba yako, mkeo, mama na Dada zako na itaendelea kutawala Click to expand... Akili makinikia hizo. Ndugu zangu wote wana akili timamu hawawezi kufanya ujinga huo.