Line ya tigopesa inahitajika

Line ya tigopesa inahitajika

Angelo007

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Posts
1,846
Reaction score
1,365
Ndugu wana JF ninahitaji line ya tigopesa kwa yeyote mwenye nayo; budget yangu ni tzs 180, 000/ ni Pm tufanye biashara kwa mtu ambaye yupo serious tu.
 
we mwenyewe hauko serious,
yaani laini ya wakala tigo pesa kwa 180k? labda laini ya kawaida iliyosajiliwa na tigo pesa ndo utapata kwa 1000 au 2000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom