stanslous theobard
Member
- May 7, 2017
- 27
- 2
Mwenye uhitaji wa line ya M-PESA (TIL) tuwasiliane kwasasa niko mbeya ila kuanzia tarehe 15 ntakua dar es salaam.
bei gani
laki na nusubei gani
unaweza pata piaNaeza pata mbili kwa matumiz sawa
0625503796unaweza pata pia
Unauza Ngapi mkuuTIGO PIA MI NAUZA NNAZO MBILI
cheki thread ingne Iko kene forum ya biashara kuna jamaa alikua anahitaj piaTIGO PIA MI NAUZA NNAZO MBILI
150000Unauza Ngapi mkuu
Nami pia hili swala linanitatiza sana....anayejua atupe ufafanuzi!....kuna risks zipi zinaambatana na kununua till kwa mtu ambae hafanyi kazi voda,tigo au airtel!Kununua till kwa mtu kuna usalama kiasi gani wakuu? Tunaogopa kuingizwa mjini