Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Mkuu 'utaniua bure'. Neno '... msio na akili nani aliyewaroga' lipo kwenye Biblia (Gal. 3:1).
kweliInategemea na formation inawezekana wakacheza Kama forward pacha wawili wa mwisho kwenye mfumo wa 3-5-2
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sina akili lakini wewe ni mbumbumbu (Rage, 2014).
Wewe ni lofa (mkapa 2015)Nashukuru sina akili lakini wewe ni mbumbumbu (Rage, 2014).
Ha ha ha ...nyie mmenichekesha sana
Nashukuru sina akili lakini wewe ni mbumbumbu (Rage, 2014).
Umezidi kudhihirisha umbumbumbu wako. Kauli ya malofa itolewa kwa wapinzani wa CCM waliokuwa wakidai wanataka kuikomboa nchi wakati nchi ilishakombolewa tangu 1961. Kauli hiyo ni kwa wanasiasa na siyo kwa timu pendwa Young Africans SC International.
Subiria October utaona moto wake . BokoooooooooAanze kutupia ku nyavu huko Kigali kwanza ili tufuzu CHAN, vinginevyo ni mshambuliaji anayekimbiakimbia uwanjani tu. Hana jipya.
Hilo jamaa ni garasa tu, halijatoa msaada wowote huko Rwanda.
Wewe ni lofa full stopUmezidi kudhihirisha umbumbumbu wako. Kauli ya malofa itolewa kwa wapinzani wa CCM waliokuwa wakidai wanataka kuikomboa nchi wakati nchi ilishakombolewa tangu 1961. Kauli hiyo ni kwa wanasiasa na siyo kwa timu pendwa Young Africans SC International.
Kauli ya Mbumbumbu ilitolewa kwa wanachama, mashabiki na wapenzi wa Mikia FC, katika makundi hayo wewe uko katika kundi mojawapo hivyo kauli hiyo inakuhusu viz. wewe ni mbumbumbu!
Unashangaa nn hapo? Kwa timu yetu ya taifa dhaifu hata angeingia unaemkubali wewe bado tungepulizwa tu. Tatizo hatuna mipango ya kusuka wachezaji wakiwa wadogo kama nchi za wenzetu Zambia, Uganda, Ghana ,Nigeria n.k wenzetu wanatengeneza timu kwa mpango wa muda mrefu. Sisi tunalaumu tu hata akiwa Sammata na Ulimwengu na Faridi Mussa bado tunachezea na kulialia.Hilo jamaa ni garasa tu, halijatoa msaada wowote huko Rwanda.
Mpira hujui..mwaka wa ngapi huu..Forward line ya Yanga inaongoza kwa magoli...numbers don't lie
wazeeeeeeeeeeee mnauza kaseke msuvaaaaa...mnaaachaa tambwe haaaaaa haaaaaaq...muuza unga ndani.....mmefuliaaaa tulieni mwone kaz mwez wa 8Mpira hujui..mwaka wa ngapi huu..Forward line ya Yanga inaongoza kwa magoli...numbers don't lie
Katika line up yako hapo juu Hakuna anayemfikia Mzamiru Yassin hasa hao viungo wako. Binafsi ni Yanga damu ila namkubali sana huyo dogo.1. Aishi Manula
2.Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Salimu Mbonde
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. John Boko
10. Laudit Mavugo
11. Emanuel Okwi
Sent using Jamii Forums mobile app