Line between life and death

Kuna binadamu wanapitia katika hali ngumu sana na wanabaki wema na kuna binadamu hawapitii matatizo yoyote ila wanakuwa katili.
Kwa nini?
Ni kwasababu wanaweza kuhimili hali hiyo wanayopitia pasipo kufanya maamuzi magumu

Yapo matatizo ya kisaikolojia yanayoweza kusababisha mtu kufanya ubaya pasipo kutegemea mazingira hayo kufanyika
 
Aisee fact kama hizi kama Kuna uwezekano zilete kwa lugha ambayo kila mmoja ataielewa ili utamu huu usipite bure wengine ni wavivu wa kusoma hiyo lugha
 
All in all God is the Jugde
 
Unitag mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…