Lindi: Watu wanne wafariki katika ajali ya gari

Lindi: Watu wanne wafariki katika ajali ya gari

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,715
Reaction score
59,251
Watu wanne wafariki Dunia na mmoja ajeruhiwa katika ajali ya barabarani Mkoa wa Lindi katika kijiji cha Likahakwa, kata ya Kitomanga.

Kati ya watu waliofariki watatu ni wanawake na mmoja ni muuguzi wa zahanati ya Mtumbukile.

Waliofariki walikuwa kwenye gari ndogo aina ya Haice inayofanya safari zake kutoka Kiranjeraneje wilaya ya Kilwa kwenda Lindi.Ambayo iligongana na lori.
 
Huko hata tochi hamna, ni kufunguka tu
 
DqW4EPmWsAERHFR.jpg
 
Bila shaka dereva alikuwa Makwango huwa hatembeagi speed itakuwa wa lorry ndiyo mzembe
 
Pole kwa wafiwa wote.....Tunakumbushwa kujiandaa,ni muda wowote ambao hatuujui hata kidogo

Tuishi kwa amani na upendo bila kujali tofauti za imani zetu katika nyanja mbalimbali za maisha
 
Back
Top Bottom