Lindi na matamko ya kikwete kutaka watumishi wasihamishwe hadi mkwanja ueleweke

Balungi

JF-Expert Member
May 25, 2011
229
151
nafurahi sana ninaposikia mheshimiwa jk akiongea,...............
msisitizo, mkazo na bashasha kuonesha anaweza ,vinashamiri katika hotuba zake.
wenzako halmashauri ya lindi? (v) unakijua walichokifanya baada ya kuwaambia ni marufuku kuhamisha mtumishi bila kumlipa?
wamewaandikisha barua za madai za haraka haraka watumishi wao, kwa sasa wanasubiri tamko jingine linalosema sasa lipa............. Wawalipe,
ama sivyo itakuwa kama vile unavyosemaga mwenyewe kuwa
" tupo kwenye mchakato, tupo mbioni, tunafanya visibility study n.k."

:a s 103:mheshimiwa matamko yake ni kwa ajili ya wapambe kushangilia.
anafuatilia?
mwambieni awe serious
 
holy crap.
 
unaweza ukataja hao walioandikiwa barua! mbona wote wanaofanya kazi hapo kwa Shenkalwa wameridhika na mazingira ya kazi!
 
Back
Top Bottom