Lindi: Aliyemuua mke wake bila kukusudia ahukumiwa kusafisha hospitali

Siku zote kuua,sio kwamba unakua umedhamilia... Ila nitukio ambalo hutokea tu,pindi unapokutana na kioja ambacho hukutegemea kabisa....

Mfano unaenda shabani kwako,shamba limesheheni mazao kama mahindi,unaona mahindi yako yacheza cheza,unajua kabisa Nyani atakua anakula Mahindi yako,kwa hasira na ghazabu,unarusha rungu lako,kumbe sio Nyani ni watu wanagegedana,rungu linatua kwenye kichwa cha wanaume nakufa papo hapo...

Sasa hapa unakua umeua bila kukusudia...

Lakini umeona mke wako analiwa,then unaenda chukua jiwe,unarudi,unamtwanga nalo mgoni wako,hapo Babu unaenda kula kitanzi,maana yake ulipata mda wa kwenda kujiandaa,nakutafuta kitu chakuweza kufanyia hayo mauwaji yako... Nahisi ndo kilichomkuta huyu baharia
 
Kusomesha ni.kazi ya mzazi kidume unachukuaje jukumu.la mzazi? Ukifikia umri wa kuoa tafuta aliye tayari kuolewa mbona wako kibao tu huyo wa kusubiria miaka SI sahihi.Huyo Kijana mimi.ningekuwa jaji ningemhukumu kunyongwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…