Linapotajwa neno fisadi watu huanza kuwafikiria wanasiasa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,907
2,000
Na hii imezoeleka baada ya UPINZANI kuwatuhumu kwa muda mrefu wanasiasa kwa mfano kashfa zote zile yalikuwa yakitajwa majina ya watu mashuhuri maarufu refer ile list ya Mafisadi mwembeyanga.
Lakini UHAKIKA Ni kwamba yako Mafisadi mengi Sana yasiyofahamika yametumia ujanja ujanja kutupiga mabilioni yetu.hawa ndio haswa tunawatafuta tuwapandishe mahakamani.wahindi wahindi na waarabu wengi wenu Ni Mafisadi tu mmetulia posta na huko kariakoo mnawaajiri watanzania wazawa na mnawalipa ujira mdogo.. ningekuwa na uwezo niwatimue wahindi Mafisadi wote hamna uchungu na nchi yetu mnatupiga kila sehemu mpaka kwenye soka mnatupiga.shame on you siwapendi siwapendi Basi tu Kuna vitu siwezi kuvizuia.magufuli nakuomba Sana nisikie Mimi achana na Hawa wapinzani walioamua kwa maksudi kusahau tuliyofanyiwa.. Magufuli kamata wahindi wale Mafisadi na walivyo waoga waoga watie Jamba Jamba wazitapike hela zetu.naongea kwa uchungu Sana Hawa wakumbafu wanashirikiana na wanasiasa Baadhi na watendaji serikalini wanatupiga hela wanazificha nje ya nchi halafu wanajiita watanzania.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom