sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,665
Hapa jamvini tunawazungumzia sana wakina chibu monde, mara kiba. hadi tunawasahau akina omy dimpoz...
Ila mnikubalie hapa katikati ni kama ndege mnana Linnah sanga alikumbwa na mauza uza, tuliokuwa tunampenda tukasema ndo kapotea.
Bahati nzuri clouds wakaja na kampeni ya malkia wa nguvu ambapo linah ndo ametumika katika jingles zote.
Nyota yake imerudi upya baada ya kuwa balozi wa kampeni hiyo ambayo kiukweli mawingu wamejipanga kwenye ubunifu hadi kufanikiwa kuiteka siku ya wanawake duniani.
Huo wimbo nadhani hata kama ni wa Clouds bado umempa kiki sana hauchoshi.