Unahisi itakua na miezi 12Pole dada ni mimba chache sana zinafikisha miezi 12 badala ya 9, ila mola atakujalia ujifungue salama
Inawezekana kabisa imefika miezi 12Unahisi itakua na miezi 12
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo mna majungu dahh..Mpaka leo hajajifunga duuuh kama mimba ya tembo, huyo mtoto atakua kishaota meno huko tumboni
Serious nimeshangaa, nlijua mtoto atakua anatambaa chinekeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo mna majungu dahh..
Kweli JF sihami
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app