Limevunda CHADEMA

Chakushangaza hii hali wanaitwa wawekezaji wakimataifa kwenye kilimo! peasant ndo afe kabisa awemuajiriwa au mjasiriamali na ukiwauliza hata viongozi acha mwananchi wa kawaida hawajui,CCM iozee kuzimu, VIVA CHADEMA VIVA
 
----- mtupu.mchumia tumbo hapo anajiona mjanja ole wako siku ya hukumu.
 


CHADEMA yashinda tena kilosa

CHADEMA KURA 600,NA ccm kura 250
 
unafahamu maana ya mchakato? ama umeamua kuachama tu!
 

you seem to have a behavior similar to that exhibited by castrated bulls.
 

Umechelewa, Chadema wameshafika mbali, yote haya ni bure! watu tumewakubali, ndilo tumaini pekee lililobakia Tanzania. Sasa bla bla za nini?
 
Mgonjwa sio lazima awe amelazwa hospitali, hakika wewe unaumwa ugonjwa wa kupenda! Labda nikukumbushe hao vijana kina Nape, Mwigulu, Lusinde wanaweza kumuongoza nani?
 

Yani umeongea kama umechanganyikiwa kabisa!! nini tazizo!? Tulia bwana!!
 

Sina hakika tangu uzaliwe akili yako imeoga.Nahisi pia wakati mwingine unaugua ugonjwa wa wenye hela.Nimepita,naenda juu pale kwa mwenzio.
 
Mafilili,
Hizi propaganda zinakudhalilisha. Kwanza jiulize unamwakilisha nani! Ni juzi tu Chadema tumetoka Iringa mjini, Mbeya na Njombe. Kote wananchi wamewaunga mkono kwa kill walichofanya Bungeni. Wamewataka wazi kabisa, siyo tu kwa mahudhurio yao makubwa kwenye mikutano ya hadhara, kwa kuitikia kwa kuashiria kukubaliana na hoja,na kuwbachangia fedha ili wasiishie Mwanza, Iringa, Mbeya na Njombe Bali waffle pia Kongwa Jimbo la Job Ndugai, Lusinde na Mwigulu Nchemba. Hivyo ndivyo ilivyofanyika, kwa Ndugai kumechakazwa kabisa. Sasa wewe kwenye mtandao unamsemea na kumwakilisha nani? Watanzania si mazezeta, wanajua kinachoendelea, wanafahamu fika mchezo wanaocheza Makinda na Ndugai, na wameukataa mchezo huo kwa kuwaunga mkono na kuwa changia mafuta, bila kujali itikadi zaidi. Nakukaribisha ziara ijayo kwa Nchemba ili ujionee mwenyewe wananchi walivyokichoka CCM. Vijiji vipi unazungumzia wakati kila kukichafua Chadema inashinda chaguzi ndogo zinazofanyika maeneo mbalimbali. Hukusoma ya Bumbuli au Ruaha juzi tu! Ni afadhali kutosema Kama hujui kwani facts zinawaumbua wala si viongozi wakuu wa Chadema.


 

avoid corruption be ethical.
 
ccm huwa hawaoni raha wasipotaja neno cdm vinywani mwao.
 

Wingi wa vijana katika mikutano na maandamano yenu isiwe kigezo cha kukubalika kwa sera zenu. Tafadhali elekezeni nguvu zenu vijijini ili chama kiweze kukubalika miongoni mwa watanzania. DSM mnatakiwa kufanya kazi ya ziada ili chama kiingie wilaya ya Ilala na Temeke. Wabunge wenu bungeni wanaponzwa na kamera hivyo wanajiweka peupe juu ya uwezo wao wa kujadili matatizo ya wananchi badala yake wanaishia kutoa MIONGOZO
 
Mgonjwa sio lazima awe amelazwa hospitali, hakika wewe unaumwa ugonjwa wa kupenda! Labda nikukumbushe hao vijana kina Nape, Mwigulu, Lusinde wanaweza kumuongoza nani?

Hana ugonjwa wowote mkuu,njaa tu na asipofanya hivi chai atakunywa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…