Limbwata - Tujihadahari

Limbwata ni imani iliyoegemea zaidi kwenye imani za kishirikina. Haifanyi kazi kama zisivyofanya kazi imani zingine.

Anayebisha na anijaribu tuone.
Mkuu Bwa'Nchuchu wewe utalishwa limbwata pasipo kujuwa na utanyamaza wewe mwenyewe ngojea tu mke wako atakapo kuja hapa kulalamika unakwenda nje tutampa dawa ya Limbwata akulishe hauta toka nje kabisa. Wewe lete Jeuri yako itakwisha.
 
Last edited by a moderator:

MziziMkavu acha kutishia nyau mtu mzima bana. Hakuna limbwata hapa duniani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu watu8 Kwani Majini hawapo? Wewe unawaogopa Majini nini? Basi watakufuata hapo ulipo wewe unasemaje?

Hahaha...sijawahi na wala siwezi kuogopa hao viumbe/roho...
Mzima lakini kaka mkubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…