ramso mgumu Member Joined Sep 2, 2019 Posts 37 Reaction score 27 Nov 15, 2023 #1 Naomba kujua au ufafanuzi WA likizo kazini Muajiliwa unatakiwa utendewe Nini na muajili wako ukiwa likizo? Na kama unauza likizo unatakiwa utendewe Nini na muajili wako? Naombeni kujua hapo
Naomba kujua au ufafanuzi WA likizo kazini Muajiliwa unatakiwa utendewe Nini na muajili wako ukiwa likizo? Na kama unauza likizo unatakiwa utendewe Nini na muajili wako? Naombeni kujua hapo
Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 5,679 Reaction score 21,534 Nov 15, 2023 #2 Muajili❌ Muajiri☑️ Likizo huwa haiuzwi, ni inasogezwa mbele tuu kwa makubaliano ya pande mbili..