Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Niambie ipi umeipenda zaidi?
14 na 18 nimezipenda sana
Nikiangaliaga hiz picha nami natamani kuwa na mtoto lol!
Kweli miss??
zinatamanisha sana napenda first born wangu awe wa kike
kweli familia inayoongozwa na mtoto wa kwanza wa kike inakuwa na upendo sana
Kwelii? Basa namuomba mwenyezi mungu iwe hivyo