Like kama ulikuwa unaisubiri kwa hamu

Mkuu aaa hii ni tafauti na kina sisi waswahili na hasa kinacho gomba ni lugha tuu ni bora muve za mzee majuto yaani utavunja mbavu na lugha imetulia na mkicheka basi hucheka wote kwa mmoja lakini za kidungu ni shida tuu au misifa ili wavimba macho wajui wewe ni msomi lakini ni uzuzu tuuu
 
Hivi bunge la Bajeti linarushwa live na kituo gani cha luninga? Nimemiss matusi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…