Weston Songoro JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 2,793 Reaction score 1,086 Jul 8, 2014 #21 T2015CCM said: Chadema imehama kwenye reli, badala ya kupinga chama tawala wenyewe wanaipinga act...kiukweli act imewashika sehemu nyeti Click to expand... hata mie nimeliona hilo aiseee! Hadi huruma
T2015CCM said: Chadema imehama kwenye reli, badala ya kupinga chama tawala wenyewe wanaipinga act...kiukweli act imewashika sehemu nyeti Click to expand... hata mie nimeliona hilo aiseee! Hadi huruma
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jul 8, 2014 #22 Hawa ACT ni watu hatari kwa taifa hili Ni aina fulani ya chama cha kigaidi
Weston Songoro JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 2,793 Reaction score 1,086 Jul 8, 2014 #23 ghwanga said: Kama ulifikiri Nyoka aweza zaa samaki ulijidanganya! Biyolojia na saikolojia sinasema nyoka atazaa nyoka na samaki atazaa samaki! Click to expand... kwa hiyo tutarajie watoto wa Mbowe wote watakuwa maDJ?
ghwanga said: Kama ulifikiri Nyoka aweza zaa samaki ulijidanganya! Biyolojia na saikolojia sinasema nyoka atazaa nyoka na samaki atazaa samaki! Click to expand... kwa hiyo tutarajie watoto wa Mbowe wote watakuwa maDJ?
Weston Songoro JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 2,793 Reaction score 1,086 Jul 8, 2014 #24 Kibo10 said: Hawa ACT ni watu hatari kwa taifa hili Ni aina fulani ya chama cha kigaidi Click to expand... kwa vile unasema kuwa ACT ni magaidi na kwa vile wametoka kwenye chama cha kigaidi (chadema) basi na chadema ni magaidi
Kibo10 said: Hawa ACT ni watu hatari kwa taifa hili Ni aina fulani ya chama cha kigaidi Click to expand... kwa vile unasema kuwa ACT ni magaidi na kwa vile wametoka kwenye chama cha kigaidi (chadema) basi na chadema ni magaidi
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jul 8, 2014 #25 Weston Songoro said: kwa vile unasema kuwa ACT ni magaidi na kwa vile wametoka kwenye chama cha kigaidi (chadema) basi na chadema ni magaidi Click to expand... We kama unaakili unadhani kwanini cdm iliwatimua? Ugaidi gaidi hu hu!! Chadema akilei wezi wala magaidi chimbo lao ni ccm na act!
Weston Songoro said: kwa vile unasema kuwa ACT ni magaidi na kwa vile wametoka kwenye chama cha kigaidi (chadema) basi na chadema ni magaidi Click to expand... We kama unaakili unadhani kwanini cdm iliwatimua? Ugaidi gaidi hu hu!! Chadema akilei wezi wala magaidi chimbo lao ni ccm na act!
Mtamile JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 2,838 Reaction score 1,274 Jul 8, 2014 #26 Yaani nyinyi vijana wa bavicha hamuishi kukimbizana na vivuli vyenu
M m4cjb JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 9,129 Reaction score 3,673 Jul 8, 2014 #27 T2015CCM said: Chadema imehama kwenye reli, badala ya kupinga chama tawala wenyewe wanaipinga act...kiukweli act imewashika sehemu nyeti Click to expand... Hivi kuna tofauti gani kati ya act na ccm?
T2015CCM said: Chadema imehama kwenye reli, badala ya kupinga chama tawala wenyewe wanaipinga act...kiukweli act imewashika sehemu nyeti Click to expand... Hivi kuna tofauti gani kati ya act na ccm?
M m4cjb JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 9,129 Reaction score 3,673 Jul 8, 2014 #28 Mtamile said: Yaani nyinyi vijana wa bavicha hamuishi kukimbizana na vivuli vyenu Click to expand... Hivi kuna tofauti gani kati ya ccm na act? Maana hata mashabiki wao hapa jf ni wale wale!
Mtamile said: Yaani nyinyi vijana wa bavicha hamuishi kukimbizana na vivuli vyenu Click to expand... Hivi kuna tofauti gani kati ya ccm na act? Maana hata mashabiki wao hapa jf ni wale wale!
M m4cjb JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 9,129 Reaction score 3,673 Jul 8, 2014 #29 Weston Songoro said: kwa vile unasema kuwa ACT ni magaidi na kwa vile wametoka kwenye chama cha kigaidi (chadema) basi na chadema ni magaidi Click to expand... CDM imewafukuza baada ya kugundua kuwa wanafanya ugaidi kwa kushirikiana na maccm! Rejea ugaidi wa kutesa na kuua uliokuwa ukifanywa na Savimbi kwa ushirikiano wa karibu na MM.
Weston Songoro said: kwa vile unasema kuwa ACT ni magaidi na kwa vile wametoka kwenye chama cha kigaidi (chadema) basi na chadema ni magaidi Click to expand... CDM imewafukuza baada ya kugundua kuwa wanafanya ugaidi kwa kushirikiana na maccm! Rejea ugaidi wa kutesa na kuua uliokuwa ukifanywa na Savimbi kwa ushirikiano wa karibu na MM.