Lijue kanisa la Madonna Della Corona

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842

Santuario Madonna della Corona ni kanisa lililoko Kaskazini mwa Italia, Spiazzi mlima Baldo

Kanisa hilo liko mlimani hapo tangu mwaka 1530, lilikuwa likitumia na watawa walikuwa wanataka upweke ili kusali kwa tahajudi

Kwa sasa kanisa hilo linatumika na watu wote hata kwa wanaotalii au wanaofanya kama hija kutembelea Italia

Eneo hilo lina mambo mengi ya zamani ikiwemo mfano wa mzani ulitumika kumpima Yesu kabla hajasulubiwa
 
Wazungu na watutawale tu aise!
 
Ukichoka maisha unajirusha tu hapo
Hakuna haja ya kutafuta sumu au kamba
 
Mmeanza tena kutupigia kelele, Mwanza kuna nyumba ngapi zilizo milimani?

What's so special na ilo kanisa kuwa mlimani! Au umri?
 
Ukiangalia vizuri jinsi hayo majengo yalivyokaa sidhani kama huko mwanza kuna ufundi wa namna hii
In the 1970s an Italian architect tore down much of the aging structure and built it back up, taking care to retain as many important artistic flourishes as possible. Sio kuwa hivyo unavyoliona sasa ndivyo lilivyokuwa tokea 16C, awali inasemekana lilikuwa dogo, na synagogue kama hizo uchina pia kwa Buddhism yapo, tena mengi tuu.. kudos to the level of architecture, not to ove rate italians, inaweza ikawa hata wajenzi hawakuwa wao..
 
Hawa ma architect wetu hawaja waza jinsi ya kutumia mawe ya miamba kama kule Mwanza au Lushoto katika ujenzi wa eneo husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…