Lijualikali kuchukuliwa fomu na Bawacha/Bavicha Morogoro

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Aliyekuwa mgombea wa uenyekiti mkoa wa Morogoro Peter Lijualikali kesho anatazamiwa kuzungumza na waandishi wa habari maeneo ya Msamvu mkoani humo baada ya Jumuiya ya kinamama CHADEMA na vijana kuazimia kumchukulia form ya kugombea uenyekiti taifa wa chama hicho na kumkabidhi form hiyo majira ya saa 10 jioni mjini Morogoro.

Lijualikali ambaye anatajwa kuwa na nguvu ndani ya chama hicho mkoani humo licha ya figisu aliyofanyiwa na CHADEMA makao makuu ya kupokonywa ushindi na kupewa Devotha Minja na baadae kukatazwa kuzungumza na wanahabari ndio mtu pekee anayeweza kumuondoa Mbowe kama hawatamuondoa kwa figisu

Naona vipande vipande vya kikanda ndani ya Chadema na huu unaashiria mwisho wa chama hiki.

State agent
 
Tunashukuru kwa pendekezo lako mkuu. Mwageni tu pesa tuongeze tabasam.
 
Safi sana...sio kama huku CCM hamna uchaguzi wa mwenyekiti miaka yote
 
Back
Top Bottom