Ligwaride mara tatu kama dozi ya panadoli kama sio Asprini

du!
 
inawezekana kama ni michubuko basi aandaliwi vizuri na kuwa tayari kwa tendo, hivyo hata vile vilainishi vinakuwa bado havijatoka jamaa anapanda tu na kushughulika. pili inawezekana hii imemuaafect kisaikolojia na kuona tendo zimahalifai zaidi ya maumivu, hii inamfanya kutokuwa tayari kwa tendo. Pole sana inabidi ukae na mwenzio mzungumze. Kwa jinsi ninavyofahamu mbona 3 ni ndogo sana kwa usiku kucha. Mapenzi ni kuridhishana baina ya wawili nao sio mmoja anafaidi huku mwingine anasikia maumivu, sasa hapo kunakuwa hakuna ushirikiano kabisa.
 
Hapo inaonekana huyo anayelalamika haandaliwi vizuri kabla ya tendo.
 
:bowl:URITHI WA BABUUU HUOOOO. ningeshauri atumie gel kulainisha njia ili isichemke saana kama injini ya gari bovu. Maana kwenda kupoza kwa maji hiyo imeniacha hoi. Maana MKINGI ukiwa imara kama ujiti mademu wanalalamika, ukiwa laini kama ndizi mbivu ndo kabisaaa tena wanakusema kwa mashoga zao. Sasa sielewi wanataka nini. Kugonga mara tatu mbona kawaida sana. Maana Asubuhi kimoja na usiku wa kati wa kulala kimoja na katikati mzee akitoka kukojoa usiku anagonga cha tatu sasa ubaya uko wapi. Jee hajakutana na wanaogonga GOLI SABA ?:bowl:
 
Hivi hawa wanafanya romance kweli au jamaa akifika anasokomeza tu maana hiyo inaweza kuwa sababu ya Mama kulalama
 
diyo ndoa hiyo, ukishindwa atatafuta shangingi mwenye kuhimili mapigo, mpe mdogo wangu mpe afaidi atakavyo ndiyo maana ya ndoa unakula hata ukitaka kila dakika
 
Hii ndo inatakiwa yaani hapo mwanamke kutokana na mapigo anayopewa hawezi kuwa na hamu ya kutoka out na majamaa mengine
Hii poa sana
simika musisi...................
usidanganyike kimbweka, kama wa kutoka nje atatoka tu maana unaweza ukawa umamsugua mara tatu na bado hajafika kileleni anakuridhisha wewe tu.kwani mashindano haya jamani?:A S angry:
 

Kwani lazima jamaa aingie ndani, si maelewa tu. Anaweza akachuliwa pia, nyonyoz, oral .................. halafu hii kitu nasikia jinsi unavyozidu kuifanya ndio unaongeza munkari, kwa hiyo njia ni kujitadhi kupunguza
kwa kadri iwezekanavyo ila bao tatu kila siku mi naoana kama uonga, labda kama huyu jamaa hana kazi nyingine yeyote
 
Hakuna mapenzi hapo. Ukweli ni kwamba jamaa ana kitu anaficha si bure. Kwa asilimia kubwa sana nahisi anatoka nje ya ndoa na hivyo hizo frequency ni gelesha kwa mama mtoto.

Kama nilivyosema hakuna mapenzi hapo sababu hakuna kuridhiana ktk hilo tendo. Huyo bwana ameshamchoka huyo mama na sasa anatafuta sababu za kutengua ndoa. Jamani hata piston za gari pamoja na kuwepo lubricants huzijawa designed kufanya kazi kwa frequency zisizoeleweka. Hii inawezekana kama umeamua kuabuse fursa hiyo.

Hivyo my take ni kuwa mama kuongea na huyo Mr wake ili aweze kujua ukweli wa mambo kwani ni rahisi sana ktk mazungumzo yao kujua kulikoni mabadiliko hayo. Kama ni mapenzi kweli ataona yanaendana na mambo mengine kama improvement ktk mawasilino kuheshika zaidi na kushirikishwa ktk maamuzi ndani ya nyumba.
 

Wakati anaolewa alidhani aenda kula aisikrimu?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…