Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Super Sunday. Ni Mnyama Vs Wagonga nyundo wa Mbeya pale Uwanja wa Taifa, Simba S.C inashuka dimbani kusaka ushindi ili kupanda Kileleni mwa Msimamo baada ya jana Vibonde wawili kutoa suluhu ya 2-2.
Simba itaongozwa na straika wake hatari Kiiza Diego Huku Mbeya City ikiwa na mafundi kama Haruna Moshi Boban, Juma Kaseja na Ramadhani Chombo Redondo.
Tukutane hapa kwanzia saa 10:00 jioni kujuzana yanayojiri...
=============================================
Full Time
Simba 2-0 Mbeya City