Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,709
Mbona alisema hakuna kukimbia jukwaa sasa kulikoni tena.
cc. Bantu lady.
Huoni kama zina mantiki?
Ohoo, kumbe wewe ni simba?
Uwiiiii...pole sana!
Yanga ndio kubwa lao bwana, huoni mambo yetu yalivyo makubwa?
Jamani simba vp
Ohoo, kumbe wewe ni simba?
Uwiiiii...pole sana!
Yanga ndio kubwa lao bwana, huoni mambo yetu yalivyo makubwa?
Kwa leo hatuna chetu ndugu yangu, ngoja turudi kujiandaa kwa mechi zinazofuata.mbona tunatoka sare dada
Dakika ya 99
Stand United 1-0 Simba
Ewe ibilisi mwenye sura mbaya unayeishi katikati ya bahari ya Shamu, ibariki simba iendelee kufungwa au kutoa droo mpaka mwisho wa ligi, au endelea kushikiria mkia wake mpaka ashuke daraja
Ha ha ha dk ya 99!
Wakati mnatoka sare hapo mbeya.