Habarini za kwenu wana jamvi, ebwana naomba kujua kuna uwezekano wa lifetime usage ya viagra? ,na je side effects ya hizi blue pills(viagra) ni zip endapo zitatumika for life time?, na je kuna dawa ya asili ambayo inaweza tibu erectile dysfunction (ED)? please, i need your views on this.