Life isn't fair

Tafsiri isiyo rasmi....
""Kuna watu wanakula chakula wapendacho na wana mwonekano mzuri, mimi nakula cookies na bado naongezeka uzito (3 pounds). Life is not fair""
 
Tafsiri isiyo rasmi....
""Kuna watu wanakula chakula wapendacho na wana mwonekano mzuri, mimi nakula cookies na bado naongezeka uzito (3 pounds). Life is not fair""
cookie ndo nini
 
cookie kwa huku tz tunaweza kuziita biscuit za chocolate ila zinatumiwa sana Norway

Mkuu naongezea tu hapo ni biskuti za kuokwa, zaweza kua chocs, plain flour etc. ni kama kichangamsha kinywa tu sio chakula rasmi
 
Maisha hayapo hapa ili kuwa fair,na hayatakuwa hata hivyo.
kustruggle hakuendani na mafanikio hivi sasa,bahati inacheza part kubwa than kuhangaika sana,inauma.
 
Kuna jamaa hapa mtaani kwetu ngarenaro huwa anachimba mashimo ya choo na taka jamaa anakula ugali ndoo nzima.kuna siku karudi nyumbani kakuta unga wa ugali umebaki nusu ndoo kubwa akakasirika akamwita mke eti huo unga ampikie uji tu maana ugali haumtoshi.jamaa ni mwembamba diamond mnene ila akifika harusini au msibani ni sinia 3 na ndoo ya chips anakula mwenyewe akimaliza anashushia na koka bonge!amini usiamini ndo ukweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…