yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,903
- 3,420
Inaonekana una moja, mbili kuhusu hii ishu emu funguka.Dogo acha Uongo mbona yule Bimt mwenye jina la Hotel pale Kariakoo na Baba yake ana mabasi ya kijani alishaolewa kitambo, leo ndio unaileta humu, hiyo birika hukuitoa wewe
kweli story nyingine za Instragan
leo mtu unajisifia Ukimwi, kizazi hichi si chetu
We jamaa pumba mzeeDogo acha Uongo mbona yule Bimt mwenye jina la Hotel pale Kariakoo na Baba yake ana mabasi ya kijani alishaolewa kitambo, leo ndio unaileta humu, hiyo birika hukuitoa wewe
kweli story nyingine za Instragan
leo mtu unajisifia Ukimwi, kizazi hichi si chetu
ha ha hahaya mambo haya, mie kuna kitoto miaka ya nyuma kiligoma kwenda chuo kwa sababu za kipuuzi mama yake kumbe alisha gundua natoka nacho si akanipa kazi ya kuhakikisha mtoto anaenda kusoma. nikakitishia kukiacha kilikubali kurudi chuo (ilikuwa cert.) now kina kazi yake .....hivi vitoto vipuuzi sana
Aameeen to that
Na Mungu ampe watoto wazuri wengi wote wa kike
Hahahahaya mambo haya, mie kuna kitoto miaka ya nyuma kiligoma kwenda chuo kwa sababu za kipuuzi mama yake kumbe alisha gundua natoka nacho si akanipa kazi ya kuhakikisha mtoto anaenda kusoma. nikakitishia kukiacha kilikubali kurudi chuo (ilikuwa cert.) now kina kazi yake .....hivi vitoto vipuuzi sana