[emoji18] [emoji18] [emoji18] Niko dakika za lala salama [emoji134]hahaha usijali lkn dk bado hazijaisha Thad
Dakika nilizosaliwa nazo ni chache sana na wachezaji wa timu pinzani naona wanazidi kupoteza mudakwann Thad?
Yataka moyo wa paka kuishi kwa kuhesabu dakika zilizobaki kabla ya mchezo kuisha. Ni heri usijue ili uendelee kuitafuta pesa kana kwamba hutakufa, huku ukimwabudu Mungu kana kwamba utakuta dakika ijayo....Naomba hiyo siri asee na mm nijue dakika nilizobakiza
mm nina moyo wa binadamu ila mgumu kuliko wa paka, pesa hazina mwisho wa kutafuta ila kumtafuta Mungu ndio kuna raha ukijua lini unaondoka....teh tehYataka moyo wa paka kuishi kwa kuhesabu dakika zilizobaki kabla ya mchezo kuisha. Ni heri usijue ili uendelee kuitafuta pesa kana kwamba hutakufa, huku ukimwabudu Mungu kana kwamba utakuta dakika ijayo....
Ebu kwanza turudi kwenye kiini cha mada, mwenzangu ushafunga goli ngapi mpaka sasa?mm nina moyo wa binadamu ila mgumu kuliko wa paka, pesa hazina mwisho wa kutafuta ila kumtafuta Mungu ndio kuna raha ukijua lini unaondoka....teh teh