If you quit, the day will come when you'll be asking yourself that very same question over and over again...!
I dont advice you to quit! You better take a step back and weigh again your options.
Planned Separation can be a better 'remedy' before you Call it a Quit!
Narudia tena bro, achana na mawazo ya "kutema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa!"...si ushausikia huu msemo wa kiswahili? It took me almost 5years to recorver from my divorce, and am still collecting pieces...Your life will never be the same Bro. 10years was the time I spent with the mom of my kids [until the divorce]...That hurts, learn it from me bro!
Mh MTM kaka yangu!! This sounds like a confession to me!! If it is then its too heavy kwangu mie mdogo wako..... Have to rest my case here!
Aisee, kumbe wanaofikia miaka 15 na zaidi ni wa kuwapa heshima, wanasema ndoa inaanza baada ya miaka kumi ya ndoa,hapo ndio mikiki huwa ni mizito, kuchokana, na kila aina ya vituko, but mama angu alinambia, ukiweza tu kuvuka 10- 18 hv, mtihani unakuwa umeupita, the rest itakuwa ni kama marudio then hutaona jipya kwako
Ushauri wangu kwa kaka MTM jitahidi kutafuta vitu vizuri kwa parter wako ili uweze kuvicherish,hata kama vimebakia kidogo ili usivunje ndoa yako, kwa kuwa nina wasiwasi after 2 yrs ya separation, utakuwa tayari umepata vyote unavyoviona unamiss ukiwa ndoani, then yanaanza majuta, ambayo yatakuwa kwa wakati huo ni mjukuu
Yeah, everyone i think has, kwa upande wangu huwa sipendi vivuruge the main one kabisa, i have my own way of dealing with themgood one BB
have you ever thought of the impact of partial love to offsprings?
Duh... mkuu, proper from the horses mouth
What if there are irreversbile changes, would push for pain for ages while somehow seeding rage and anger to the children?? Nakumbuka in 2003, there was a Dannish woman who was telling me kwamba had she known earlier imapct ya yeye na mmewe kugombana au kutokua very close, ange-divorce mapema
She was telling me that his son's dont have love for anyone and they are really phyical to everything
hahahaaaaaaaaaaaaaa.... read between the lines mkuu
Yanatokea sana tu... kuongeza tumeambiwa hairuhusiwi

Duh... mkuu, proper from the horses mouth

What if there are irreversbile changes, would push for pain for ages while somehow seeding rage and anger to the children?? Nakumbuka in 2003, there was a Dannish woman who was telling me kwamba had she known earlier imapct ya yeye na mmewe kugombana au kutokua very close, ange-divorce mapema

She was telling me that his son's dont have love for anyone and they are really phyical to everything
Hapa sasa mbu umenichenga, you wish to persuade, and at the same time differences zingeendelea... what is that??? does it meaqn you wish for the differences to go on?to ask me for a divorce. My only regret was/(is) maybe I should have tried harder to persuade her to stay though
Our differences za kimtazamo wa maisha zingeendelea mpaka leo.
It cuts both ways man,....!
Am learning here!
Just wondering how can a person want to forget the good sweet memories in the first place if s/he has a chance of holding onto them!
Inategemea mydia, maisha hayaji mara mbili wanasema, pamoja na wewe namshauri azing'ang'anie kwanza maana na huku mtaani ni balaa tupuAm learning here!
Just wondering how can a person want to forget the good sweet memories in the first place if s/he has a chance of holding onto them!
Am learning here!
Just wondering how can a person want to forget the good sweet memories in the first place if s/he has a chance of holding onto them!
Second marriage ni disaster rafiki, maana unaona ushaweza kuacha kwa hiyo na huyo akileta unaanza tu, kwa msemo ule "nilimwacha fulani, itakuwa huyu nimekutana nae nishaanza kuzeeka" kuwez a kuwa na true love tumepewa mara moja tu duniani hapa, sasa inategemea kama kwa ndoa ya kwanza ulilazimisha then ikaja ya ukweli, au umetoka kwa true lover wako wa ukweli unaenda kwa mwingine ambae unajilazimishia tu au tamaa ya mpitonadhani ni fasihi... kusahau haina maana hiyo bali ni kutokujuta badae!!! dont u know wale wa kusema angekua XXXX angefanya hivi?
BTW, has anyone here blessed with data on the success rate ya second or third marriage??
Nikweli kabisa hata hapo chini nimeelezea, unaweza hisi kwamba umefika kumbe ulikuwa safarini, yaani partner wako wa sasa alikuwa ni njia tu ya kukufikisha kwa mpenzi wako wa maisha, ila inabidi ujiulize mara mbili coz, tamaa pia inatufanya tuone hawa temp lover wetu ndio wa ukweliMJ1 kusahau hapo ni kutokumisi...
BB what if maisha ya kwanza hayakua yangu bali ni default tu?? umeshasikia the first love who was lost, mtu akaoa after 20 year akakutana na first love and everything changed completely??
Well, hayo mambo yapo.... do you remember your first love??
Second marriage ni disaster rafiki, maana unaona ushaweza kuacha kwa hiyo na huyo akileta unaanza tu, kwa msemo ule "nilimwacha fulani, itakuwa huyu nimekutana nae nishaanza kuzeeka" kuwez a kuwa na true love tumepewa mara moja tu duniani hapa, sasa inategemea kama kwa ndoa ya kwanza ulilazimisha then ikaja ya ukweli, au umetoka kwa true lover wako wa ukweli unaenda kwa mwingine ambae unajilazimishia tu au tamaa ya mpito

Lizzy mtu aliyeacha mara ya kwanza ni mwepesi ku move on mahusiano yanayofata yakimboa tena, sababu aliweza tu kuthubutu kufanya kitu ambacho wengi wanashindwa kukifanya, then mtihani anakuwa amemaliza, hapo ndio nilimaanisha mimi,kuna wanaojifunza sana kutokana na makosa, but hata wakiacha au kuachwa maumivu si kama yale ya kwanza, wa kwanza ni wa kwanza tuHiyo ya kusema kwamba ndoa ya pili au hata ya tatu inakua matatizo kutokana na urahisi wa huyo mrudiaji kuacha sio kweli kwa asilimia zote....labda kiasi kuendana na tabia ya mtu!!
Urahisi wa mtu kuondokana na relationship yoyote ile siku zote inategemeana huyo muondokaji anayachukulia vipi hayo mahusiano.Kuna watu ambao ndoa zao zilizofuata zimekua zaidi ya mafanikio...kwanini?!Kwasababu ni ngumu kurudia kosa la kuingia kwenye ndoa ili tu awe kwenye ndoa.Anakua amejifunza na pia amekomaa kwenye uwanja mzima wa mambo gani ni muhimu kwake kuwezesha ndoa iendelee kuwepo...na ni mambo gani ni muhimu kuavoid.
Mwisho wa siku kumkimbia/mkataa mtu uliyefunga nae ndoa haina tofauti sana na kuachana mkiwa kwenye mahusiano ya kawaida.Ni vile tu ile ni official zaidi....ila hata siku moja huwezi kukuta mtu anapata urahisi wa kuachana na partner wake anaefuata sababu tu aliweza kuachana na wa mwanzo.Urahisi unatokana na mapenzi yake kwa huyo mwenzi...mtazamo wake wa mahusiano hayo pia jitihada za mwenzake kumfurahisha.
Hujawahi kuona mtu aliyezoea kuacha wenzake siku akiachwa yeye anaangua machozi na kukondeana juu?!Sio kwasababu kuachwa kuanauma sana bali kwasababu kumpoteza mtu umpendae KWELI kunauma sana!!