Unajua sometimes mtu akitumia maneno kama haya unashindwa kuelewa kama anamaanisha au ndo yu anadanganya???
Hahaha beutiful world!
You don tell me...!?
Sometimes hawa viumbe wenzetu tukiwapa ukweli ndo inakuwa umejichongea na uhusiano unaeza usiwepo baada ya mda mfupi ila ukipiga zuga mbili tatu za kutunga na uongo mwingi yani hapo ndo umekuwa umewapatia sana unawakoleza ile mbaya...
I do agree that kuna wakati tunatakiwa kudanganya ili mambo yaende sawa but kuna watu wanaishi uongo yaani kila litokalo mdomoni mwake ni la uongo sasa huyu nae sijui yupo kwenye kundi gani?
Mara nyingi tunajikuta tukitakiwa kuokoa jahazi. Nadhani uongo mtakatifu unaruhusiwa. Hata Mungu hatajali!
kuna mwanamke mmoja alisema..
mumewe the only time he tells the truth is
when he admit that it wa a lie.
the rest ni uongo LOL!!!!
its funny but ndo hivyo.
Upoooo?sikuoni kule...
wapi tena au ndo umeanza uongo hapa hapa
mbona nipo sana tu
si huku kwangu,pm
au mpaka nikukaribishe tena?
hahaaa we naye bwana
hebu nikaribishe basi