Ila tu napendelea kurudi kwenye mada yenyewe. Je huoni hatua zinazochukuliwa sasa dhidi ya wanamigambo (wengiwao wa mwelekeo wa kijihadi) ni dalili zuri za kurudisha kiwangocha amani na usalama nchini Libia?
safi sana nawaendelee hivyo hivyo maana undava wao umewatokea puani na bado..
Mpendwa unalalamika nini? Jinsi unavyoonyesha huwezi kuandika hata setensi 1 kwa Kiingereza bila makosa.....My friend the post was posted in English language so why are you show your foolish by use your ,..............................................................
A man linked to an anti-Islam video that sparked riots across the Muslim world is being held in Los Angeles, California, ahead of a bail hearing.
Link BBC News - Nakoula Basseley Nakoula held for probation violations
The United States is temporarily removing further staff from its embassy in the Libyan capital, the state department has said.
Link BBC News - US temporarily reduces staff at Tripoli embassy
Sawa lakini hakukamtwa kwa kumkashifu mtume (maana hii ni uhuru wa maoni...) bali kwa sababu aliwahi kufika mbele ya mahakama na kupewa amri kutotumia inaneti kwa muda fulani . . . .
sawa....niruhusuniazime msemo wako huu:
[/FONT]
Taarifaya BBC inayotajwa juu inasema hivi:Maumivuyakizidi, muone daktari.
Umewekewataarifa tu na vyanzo vya habari hizo au taarifa zimesema amekamatwakwa kukashifu mtume?
.....
Hii inalingana na taarifa nyingine nilizoona. Yaani alihukumiwa jela kwa utapeli, aliruhusiwa kuondoka mapema kwa masarti ya kutitumia kompyuta, sasa akaonekana alitumia kompyuta na intaneti ivyo anarudiswa jela kwa miezi inayobaki ya adhabu asilia ya utapeli.
Lakini ayumo ndani kwa video.
Mpendwa twende polepole.Habari ya video umeipata wapi? Au nani kasema kuwa amekamatwa kwa sababu ya video?
Ayumo ndani ya (kwa) video? Video ipi hiyo?
Mkuu Kipala nahisi unachanganya mambo!
Kuna uhusiano wowote wa video na huyu aliyekamatwa kwa utapeli?
Mpendwa twende polepole.
Huyu mtu Nakoula (mtapeli aliyevunja masharti yake ya kusamehewa sehemu ya muda wake wa jela) ni yeye yule anayehusika katika kutengeneza video ile juu ya Muhammad.
Ilhali wengine walidai achukuliwa hatua sasa alikamatwa lakini si kwa sababu kazi yake kuhusu video ile bali kwa kosa la kale.
Kipala
Wengine wepi hao waliodai achukuliwa hatua? Hao wanaosema hayo ni katika thread hii?
Kama sio,ukubali tu mkuu kuwa umechanganya mambos!
Mimi sijaona katika uzi huu wanaosema hivyo unavyosema wewe.
Au Nonda alisema Nakoula (tapeli) amekamatwa kwa kukashifu mtume/ au kwa kuhusiana na filamu?
Sikuelewa umekusudia nini au ulikuwa na lengo gani uliponinukuu na kuweka hiyo kauli.
Kipala
Wengine wepi hao waliodai achukuliwa hatua? Hao wanaosema hayo ni katika thread hii?
Kama sio,ukubali tu mkuu kuwa umechanganya mambos!
Mimi sijaona katika uzi huu wanaosema hivyo unavyosema wewe.
Au Nonda alisema Nakoula (tapeli) amekamatwa kwa kukashifu mtume/ au kwa kuhusiana na filamu?
Sikuelewa umekusudia nini au ulikuwa na lengo gani uliponinukuu na kuweka hiyo kauli.
eti ni kweli jina la mgen unatumia pia ??
Nani amekunong'oneza?
Nonda anatumia Nonda tu. Hutaki unaacha!
Wewe unazo ngapi? lol
Rafiki yangu gavana alipenda kusema hivi; basi usome https://www.jamiiforums.com/dini-im...hings-has-nothing-to-do-with-terrorism-2.html kwa mfano post #23.samahani hilo suali nilimkusudia kipala hapo ???