M Mgunda Jr Member Joined Aug 11, 2013 Posts 31 Reaction score 45 Jan 17, 2026 #1 Habari Wakuu.. Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari .
Habari Wakuu.. Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari .
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 29,449 Reaction score 61,204 Jan 17, 2026 #2 Mgunda Jr said: Habari Wakuu.. Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari . Click to expand... Watoto waliozaliwa miaka ya karibuni wakisikia neno library wanadhani ni aina ya nyoka. Nchi yetu imepoteza kabisa ile misingi ya elimu.
Mgunda Jr said: Habari Wakuu.. Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari . Click to expand... Watoto waliozaliwa miaka ya karibuni wakisikia neno library wanadhani ni aina ya nyoka. Nchi yetu imepoteza kabisa ile misingi ya elimu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,922 Reaction score 195,660 Jan 17, 2026 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Prof_rutta22 Member Joined Aug 29, 2022 Posts 49 Reaction score 27 Mar 7, 2026 #4 KILENZI MEMORIAL COHAS