Enno Temba
Member
- Sep 30, 2015
- 29
- 6
Habari wana jamii forum, Natumani mu wazima.
Kama wewe au una mtu yeyote anaweza kufanya kazi maktaba mwenye sifa zifuatazo.
1. Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
2. Awe mchapakazi (kufanya kazi bila kusimamiwa)
3. Mwenye uzoefu kwanzia mwaka mmoja na kuendelea atapewa kipaumbele
4. Mwenye umri wa miaka 20 na kuendelea
5. Awe tayari kufanya kazi mkoa wa kilimanjaro
6. Kuhusu malipo tutakubaliana kabla ya kuanza kazi.
7. Mwenye sifa tajwa hapo tuwasiliane. Asanteni
Sent from my iPhone using JamiiForums