Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Wawakilishi wa Tanzania Bara katika Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Simba wamelazwa bao moja kwa sifuri Uwanja wa Taifa. Matokeo hayo yanaiweka Simba katika nafasi finyu ya kufuzu kwa hatua inayofuata. Simba inahitaji ushindi kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa Angola katika majuma mawili yajayo. Libolo litadhibitiwa nyumbani Angola?