Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,595 Reaction score 23,956 Aug 17, 2011 #1 Hizi ni ndoto za anayejiita Peter Thiel, mfalme bilionea wa Techtopia. Huu ni mji wa nchi mpya utakaojengwa juu ya bahari kusikofungamana na nchi yoyote duniani.
Hizi ni ndoto za anayejiita Peter Thiel, mfalme bilionea wa Techtopia. Huu ni mji wa nchi mpya utakaojengwa juu ya bahari kusikofungamana na nchi yoyote duniani.
wende JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 714 Reaction score 67 Aug 17, 2011 #2 kiburi cha pesa!
Viper JF-Expert Member Joined Dec 21, 2007 Posts 3,666 Reaction score 1,407 Aug 17, 2011 #3 tunawezaje kuhamia hii nchi...
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,429 Aug 18, 2011 #4 Viper said: tunawezaje kuhamia hii nchi... Click to expand... usiondoke kwanza nchi ishauzwa chukua kabisa haki yako,hapa hamna tena kusikilizia hahaha!
Viper said: tunawezaje kuhamia hii nchi... Click to expand... usiondoke kwanza nchi ishauzwa chukua kabisa haki yako,hapa hamna tena kusikilizia hahaha!