R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Mkurugenzi wa LHRC , Bi Kijo Bisimba amezindua ripoti ya uchaguzi baada ya miezi mitano ,mgeni rasmi akiwa msajili wa vyama vya siasa.
Baada ya utafiti wamepata majibu kuwa uchaguzi wa 2015 ulikuwa huru lakini si wa haki sababu kubwa ikiwa vyama vidogo havikupata ruzuku,kukwama kwa Katiba ili kutoa kasoro ndogo ndogo zilizojitokeza.