Mkuu ni led au lcd?Habari za muda ndugu zang,nauza flat tv nch 32 lg bado mpya kabisa 400000,ipo bukoba kageraView attachment 673197
Upo Makini Kwenye Utumiaji Wa UmemeMkuu ni led au lcd?
Tangazo lenyewe kaweka halijakamilika,, nmaba ya cm hajaweka!! Maswali anayoulizwa hajibu ya yupo shalow kwelkwl huyu jamaaaUpo Makini Kwenye Utumiaji Wa Umeme
Upo Makini Kwenye Utumiaji Wa Umeme
Lcd umeme mwingi kdogo sababu technology ya nyuma kdogohivi ni ipi ambayo inatumia umeme mwingi au kidogo?? msaada tafadhali