Lets talk about Haja Kubwa

 
U
Ukiweka gazeti wengine watadhani umewawekea kitawadhio! Kuna watu wanadriki kujichokonoa kwa vidole vya mikono yao halafu wanabandika ukutani utafikiri wanatafuta vitambulisho vya NIDA.
 
Kwahiyo mkuu ulisota kwenye mawe? Kamilisha habari yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha..hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…