Let's be friends

cremoo

Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
41
Reaction score
2
natafta marafk wenye age kuanzia
25- 40
tubadilishane mawazo na tufamiane
0756181677 watsup only
 
sema unatafuta michepuko wewe vp bhana unafikiri wadau hawasomi uelekeo wa upepo!!!
 
ha ha ha ha vunga kama syo interesting kwako
 
Tujue jinsia yako kwanza, we ni me au ke, na isijekuwa we ni chakula ya watu au msagaji, jipambanue kwanza, sorry kwa hiyo maneno but ni vyema tukufahamu kwanza.
 
Mawazo mengine matakatifu,mengine michepuko kisha tubadilishane.... aka! naogopa kuambukizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…