Leta mteja wa dhahabu ule commission

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
5,812
Reaction score
11,499
Wateja wa dhahabu wanahitajika kuanzia kilo 1 as minimum and above. Pure kwa 97%. Bei $ 40,000 per kg.For more details pm.
 
ni dili au? inauzwa kawaida! na office wapi?

some sort of deal, jamaa ni Camerounians wapo hapa bongo wana kampuni ila hawayafaham vyema mazingira hapa hivyo its lyk opport. kwa watu ukileta mteja kupata commission. Vp una wadau?
 
Naona vita ya Congo inataka kuhamishiwa Bongo... Dhahabu ya Congo upite nayo wapi wakina kamuhanga wasikuone nayo wakupige shaba kisha wakusingizie wamefanikiwa kumuuua jambazi aliyemuua ballow
 
hawa ndo walewale wanaorudisha kilometa za magari nyuma.
sijawahi kusikia tangazo la dhahabu ghafi mahali popote.
mi nakushauri mtafute rostam aziz ndo mjanja hapa bongo tu.:confused2::bowl:
 

Mwenye Dhahabu kama hyo hawezi kosa mteja hapo unatafuta watu wa kuwapiga inshort wewe ni conman....
 
Ile biashara haramu ya dhahabu feki mnaileta tena JF? Mbona wewe mleta mada usichangamkie uwe bilionnaire!!? Swali gumu kabisa hapa!! Tena wakongoman, ni balaa!!!
 
Ile biashara haramu ya dhahabu feki mnaileta tena JF? Mbona wewe mleta mada usichangamkie uwe bilionnaire!!? Swali gumu kabisa hapa!! Tena wakongoman, ni balaa!!!

Ushauri mzuri mkuu, achangamkie mwenyewe apate ubilionea wa fasta fasta. Akishindwa kabisa awapelekee wahindi walioko mtaa wa jamuhuri maeneo ya posta waipime then watakupa chako kama kweli unajiamini kibiashara, ukiwaletea biashara ya kihuni utaumia mwenyewe. Maana jamaa wameaga India kuja TZ kufanya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…