Let Kagame Have a Third Term as President


Haya mambo ya Wahutu na Watusi inabidi yafike mwisho.
Kwasababu siku ambayo raisi Kagame anakuwa hayupo lazima kutachafuka tu.
Na mambo yote mazuri ambayo yamejengwa sasa yatapotelea hewani.
Hapa busara ya hali ya juu inahitajika sana.
 
Only clueless and IQ of 50 or below ndio wataamini your garbage and clearly ni ile tutsi hating thing inakusumbua
 
Mkuu msikilize huyu nguli wa siasa Shaka Ssali hapa.

Mkuu jMali nimemsikiliza Shaka lakini kuna mambo hajayaweka sawa.
Kwa mfano kusema kwamba Kagame ni mhanga wa The Hague (ICC) halina ukweli wowote.
Kwasababu ICC imeanza kufanya kazi mwaka 2002 na inasemekana Kagame alifanya makosa ya Uhalifu wa kivita miaka ya 90's.
Ukisoma zaidi Mkataba wa Roma (Rome Statute) Ibara ya 11 inasema wazi kabisa kwamba:

Article 11
Jurisdiction ratione temporis
1. The Court has jurisdiction only with respect to crimes committed after the entry into force of this Statute.


Hivyo basi raisi Kagame atakuwa amekwepa mkono wa sheria; na kama wanataka kumshitaki kwa makosa ya mauaji ya halaiki na uhalifu wa kivita mahakama sawia kabisa ni ile ya Rwanda (ICTR) kwa sasa hivi inaitwa MICT. Marehemu Professor Juan Mwaikusa kabla hajauwawa alikuwa wakili akiwateteta Wahutu kule ICTR na alisema kwamba Kagame
naye amehusika kwenye mauaji ya halaiki na alikuwa mbioni kupeleka uthibitisho huo mahakamani.
Hivyo hapa Shaka Ssali hajaweka vigezo vya ICC sawia hata kidogo: ICTR ndiyo inamhusu.

Sikiliza pia wanyarwanda halisi achana na hawa "wanyambo" wa JF.

Huyu wa pili nimemuelewa vizuri kabisa kwasababu amesema kuwa Rwanda kuna upendeleo, Kama raisi Kagame anaongoza basia afanye kwa manufaa ya Wanyarwanda wote: Hapa yuko sahihi na namuunga mkono.
Mathalani kuna watu wanataka Kagame akae madarakani siyo kwa manufaa ya Rwanda nzima bali waendelee kunufaika na mfumo: Hili nalo pia nimemuelewa, anataka watu wote wanufaike.
Maoni mazuri na hayana ubaya wowote, kwasababu ni hatari sana watu kujihisi kama siyo wananchi kama wengine.
 
Only clueless and IQ of 50 or below ndio wataamini your garbage and clearly ni ile tutsi hating thing inakusumbua
It is you only who can't really concate with all the truth I am giving here. And it is because I m hiting on what you don't want to be disclosed.
 
Brother that's true waswahili muneno mrefu action zero
 
hahhhahhha, hivi hata sura haikuonyeshi kama mzee kapinda? so MALCOM LUMUMBA you have allowed your self to be trapped by these kind of nonsensical sound bytes? here is a whole clip this self proclaimed philosopher professing outcry about Rwanda and Rwandans should be shaming those who claim that no one in Rwanda is free to criticize His Excellence or the Leadership, they interviewed him in Rwanda and walked out freely from that studio in Kigali... anajifanya kumpenda Mzee wakati anamichuki binafsi na ndugu zake alafu anaichanganya na siasa? you seem to forget the people we deal with in this forum... despicable or sometimes even heinous comments are their daily life! some of them pretend to love us so much and propose a TRIAL & ERROR which costed Tanzania 30 yrs to come up with a leader like His Excellency Magufuli! no thanks, we have one and that is it... until other wiser
 

Kwenda Hague in particular inaweza kuwa ngumu kwa kuwa Rwanda sio member, lakini Kagame hana kesi moja. Kama sikosei kwa sasa hivi ziko kesi at least tatu worldwide including US ambazo hawezi kushitakiwa kwa kuwa ana presidential immunity. Vile vile kwenye suala la Hague sijui sheria inasemaje, lakini kagame ndio mhusika mkuu wa masuala ya DRC ya waasi, DRC ni member wa ICC..sijui endapo atatiwa hatiani halafu akawa sio rais wa Rwanda hatapelekwa?
kuhusu huyo jamaa wa pili pointi yangu ni kuwa watu walilazimishwa kusign. Usisahau kuwa Rwanda inasema kwenye zoezi hilo ni WATU 10 TU NCHI NZIMA ndio waliotoa maoni kuwa Kagame asigombee tena! Wakati huo huo kuna vyama vya upinzani vinavyopinga hilo jambo, je hivyo vyama vina wanachama wangapi kwa ujumla? Kichekesho hiki.
 
ah jMali tumerudi kulekule kwenye mambo ya kizushi ya kutaka kuloga watu hapa JF! hayo ya ICC hayatuhusu, mtajuana nao! lakini je, kwani haujuwi maana ya petition? kwenye nchi ambayo ndio iko kwenye njia ya maendeleo, ambayo idadi yake kubwa ni wakulima utawapata wapi? kwenye mtandao? au utaenda nyumba kwa nyumba kutafuta maoni yao? sasa kulazimishwa inakujaje hapo? labda kama utaniambia walishikiwa bunduki, lakini nayo itabidi uje na ushahidi sio kuleta story za kizushi!
we kweli muuza sumu mkuu hapa JF! watu kumi nchi zima, kweli? hapo watakao kuamini ni wachovu kama kina JustDoItNow na Masunga Maziku umeshindwa nini kuwaambia kama hao watu kumi ni wale members wa Green Party(GP) badirika ndugu, jaribu kuwa unakuja na vitu kamili basi kusudi mjadala uwe wakujenga na sio bomoa...
 
Haahaaa Mchambawima huwa nafurahi sana ambavyo mnabishana na Jmali.
Yote tisa mkuu, watu waseme, waruke au wakae kwenye sauti ya mwisho kabisa kuhusu hatma ya Rwanda ni Wanyarwanda mwenyewe.
 
Ahahahha, mzee wa sumu mbona unapanic? shida nini? yeye ametoa views zake. Sasa wewe mbona unatokwa kamasi namna hiyo?.......LOL
 
Keep on pretending to be while you are not.

Kwanini niwe mnafiki kwenye hili jukwaa ambalo hata mtu hatujuani wala kuonana?Kweli Is it worth it mkuu wangu?
No need to hate, i was just saying what i saw with you comments; samahani kama nimeeleweka vibaya.
 
Complete lying imbecile
 
Complete lying imbecile
huyo kichaa hadi anatia kichefuchefu! ukabila ndio dini yake! hata uwe na sifa zote za uongozi halafu usiwe kabila lake, basi hapo yani ujue kura yake hauipati ng'o! eti bora ampe chizi mwenzake kwa sababu ya ukabila tu! Duh... tabu kwelikweli...
 

You are to some extent right but you have forgotten one crucial fact. The fact is that Kagames are rare in young states. So the states would be expected to change their constitutions depending on the kind of leaders in power. Suppose a certain leader who suppresses his subjects turns out to be an autocrat, how would the situation be peacefully handled? It is common for leaders to tamper with constitutions, assumed to be main national laws, to enable them to remain in power.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…