Leseni ya biashara nenda kwa afisa biashara ya eneo uliopo upo mkoa, jiji au Wilaya gani hii ndo ita determine kiasi cha kulipa
Leseni inalipwa mara kwa mwaka wa fedha husika km sasa ivi tupo mwaka 2018/19 ikifika july tu naingia 2019/20 itabidii ulipie tena
Process zingine za kufata ni za EWURA utailekezwa uko