Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,604
3,753
habari wajamvi, kumetokea na sinto fahamu na kampuni hii ya wahindi na madere wake. chanzo cha msuguano huu ni malipo ya makumbusho ya olduvai.anadai madereva wake wanaletarisiti bandia lakin hiyos sababu. mimi nionavyo huyu bwana anahalingumu tu ya kibiashara sasa anatafuta njia mbadala yakuzulumu haki za madereva hao na mpaka sasa watatu wako ndani kisongo. nafikiri hata hao madreva wenyewe hawana ushirikiano mzuri kiasi kwamba kila kukicha manyanyaso yanazidi.

mafuta shida,allowance mbovu.wahindi ni wanyanyasaji sana,washukuru nyerere hayupo.

 
jembe afrika Masilahi ya kampuni mbele kwa kuwa imeajiri watu wengi hapo !!
Umefanya kazi miaka mingapi ?!! acha kuleta ubaguzi na fitina, Wenzio madereva wapo kazini wanawajibika.... kazi ni kazi haina upendeleo "LEOPARD TOURS" ina gari nyingi sana vipi mmoja tu ulalamike ?
 
Last edited by a moderator:
ni waoga wa maisha tu,kila siku tunakutana nao sopa serena wanalia na matatizo ya mafuta na allowance.breafing mbovu
ya wageni mkuu
 
Sasa hawa madereva na wengine wenye hali ngumu wapate fursa ya kuja hapa kubeba boksi unadhani wataninginiza pumbuuu kama mabraza meni na masoftass ya kibongo iliyoko huku bila aibu inatumiwa pocket money na wazazi wao toka bongo paaambaffff
 

hakuna race ya kishenzi kama hii, wahindi washenzi sana aisee
 
ni waoga wa maisha tu,kila siku tunakutana nao sopa serena wanalia na matatizo ya mafuta na allowance.breafing mbovu
ya wageni mkuu

KULALAMIKA TUUU !! Huu ugonjwa waTANZANIA ndiyo virus isiyotibika " kutwa tuna lalama yaani kuanzia ngazi za juu serikalini, mitaani, vijiweni,uwanjani, kazini, shuleni, mahospitali,Misikitini,kanisani !! sijui wapi " masaa 24 ukikutana na Mtanzania hata awe Rais Daima mnalalamika pppuuuuuuyyyufff !! jamaani hamujui kushukuru Mungu !!

Nchi imejaaliwa na kila aina ya Neema !! Tena nasema kila aina ya Neema kwa mtu mwenye Macho na bongo timamu ataona ukweli !!
Looh ugonjwa wetu mkubwa ni kulalamika, kumetufanya hata mbele yako huoni kitu !! Pole mkuu, na Poleeni waBongo...!

Mfano mdogo natanuliza samahani na muniwieradhi...Tazama Kenya !! tANZANIA INAISHINA KENYA KWA KILA ULIJUALO lakini bado siye ndo wanyonge, masikini na madhalili katika maendeleo ! pole wandugu zanguni....! Labda utapa mtetezi mvivu hapa !!
miss chagga Shy land
 
Last edited by a moderator:
nimewaambia wawapige waibe wasepe
 
si unajua yanatumia pesa zao kujilinda.
miss chagga

Tafadhwali usipoteze nguvu zako kwa jambo kama hilo " kwanza haitokusaidia kitu " tabia hiyo ishapitwa na wakati.....
Kuwa muungwana fata sheria nena Labour kama unamadai !!
Halafu jamanii kazi za udereva zipo nyingi haswa Serikalini na mashirka ya umma... kwanini mnag'angania kwa wahini ambao hata 0.1% haitoshelezii?
 
Last edited by a moderator:

sasa utakuta wameajiriwa kiholela holela hawana hata mikataba
 
Nchi ya hovyo na watu wake wavivu wa kila kitu,hawafanyi kazi wanataka pesa na raha na wizi. Mbona misaada ya Saboko hamuichukii. Tena mlivyo wajinga mnaanza kugeuza hii ni mahakama ya kazi,ukiiba mafuta huko na kupeleka resiti za kugushi ofisini hutuambii hapa,unatuletea kalabaa. Mtu mvivu siku zote muongo na mpika majungu anayejaribu kila mara kumwaga sumu,sasa kwa ujinga wa huyu mvivu/mwizi wa mafuta/mwizi wa vitu vya wageni na mpeleka resiti za kugushi ofisini anajaribu ati kupata ushauri humu atuondolee upumbavu hapa kama kazi huko Leopards mbaya aache atafute kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…